Klabu ya Manchester
United imekamilisha ziara yake ya maandalizi ya michuano ya ligi kuu
soka ya England kwa kutoa onyo kwa mahasimu wao Liverpool baada ya
kuwatandika mabao 3-1,na kufanikiwa kutwaa taji la International
Champions Cup.

No comments:
Post a Comment