Thursday, September 4, 2014

ROONEY AANZA KUFURAHIA UNAHODHA WAKE ENGLAND

                                                   Rooney akipiga mkwaju wa goli


Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney, ameanza kufurahia nafasi yake ya kuwa nahodha katika timu ya taifa England,baada ya usiku wa jana kuipatia goli timu yake dhidi ya  Norway,katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na patashika ya Euro 2016 .

Rooney alifunga bao hilo la pekee na kuamsha matumaini ya kikosi hicho cha kocha Roy Hodgson,ambaye aliondolewa mapema sana katika michuano yakombe la dunia huko Brazil.

MATOKEO MENGINE HIYO JANA……..


Palestine
(1 - 4)
Myanmar



Philippines
5 - 1
Chinese Taipei













Russia
4 - 0
Azerbaijan





Lithuania
1 - 1
United Arab Emirates





Ukraine
1 - 0
Moldova





Latvia
2 - 0
Armenia





Denmark
1 - 2
Turkey





Czech Republic
0 - 1
USA





Germany
2 - 4
Argentina





Ireland
2 - 0
Oman





England
1 - 0
Norway





Morocco
0 - 0
Qata



No comments:

Post a Comment